Deuteronomy 12:9-10

9 akwa kuwa bado hamjafikia mahali pa mapumziko na urithi ambao Bwana Mwenyezi Mungu wenu anawapa. 10 bLakini mtavuka Yordani na kuishi katika nchi Bwana Mwenyezi Mungu wenu anayowapa kama urithi, naye atawapa pumziko kutokana na adui zenu wote wanaowazunguka ili ninyi mpate kuishi kwa salama.
Copyright information for SwhKC